Kocha wa muda wa timu ya taifa ya Uingereza, Gareth Southgate amepata ushindi wa kwanza toka akibidhiwe mikoba baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Malta kwenye mechi ya kufuzu kombe la dunia iliyofanyika katika uwanja wa Wembley.

Magoli ya Uingereza yamefungwa na Daniel Sturridge dakika ya 29 huku goli la pili likifngwa na Dele Alli katika dakika ya 38.

Uingereza ilitawala mchezo huo kuanzia dakika ya kwanza ya mchezo hadi mwisho licha ya kukosa magoli ya wazi.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *