Serikali imeyataka magazeti na majarida yote hapa nchini kusajiliwa upya kuanzia leo Alhamisi, Agosti 23 hadi hadi Oktoba  15, 2017 kwa mujibu wa sheria.

Msemaji wa Serikali  Dk Hassan Abbasi ameyaeleza hayo leo wakati akizungumza na wanahabari katika Ukumbi wa Habari Maelezo, Posta jijini Dar es Salaam.

abasi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *