Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu mwanamuziki nyota wa Bongo fleva, Madee kutokea pande za Tip Top Connections leo anatarajia kuachia nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Hela’.

Kupitia atika mitandao ya kijamii mapema leo zimesambaa picha zikionesha wimbo mpya wa Madee uitwao ‘Hela’.

Wimbo huo utasikika leo katika vituo mbalimbali vya redio nchini baada ya kukamilika kila kitu.

Wimbo huo umeandaliwa katika studio za ‘Mj Record’  kwa ushirikiano wa waandaaji wawili ambao ni Marco Chali na Daxo Chali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *