Mabweni ya shule ya Sekondari ya Ufundi Mtwara yamewaka moto na kuteketea kabisa asubuhi ya leo huku chanzo cha moto huyo akijajulikana.

Hakuna mtu yoyote aliyeapata madhara kwenye janga hilo la moto kutokana na shule kufungwa na wanafunzi kuondoka eneo la shule hilo.

Vitu vyote vilivyokuwa ndani ya mabweni hayo vimeteketea kabisa huku waokoaji wakishindwa kuuzima moto huo kutokana na kuwa mkubwa.

Uchinguzi wa chanzo cha moto unaendelea mkaoni humo kujua nini chanzo cha kuungua kwa mabweni hayo.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *