Unalifahamu jambo kubwa linalowasumbua wasanii karibu wote ulimwengu? Huwezi amini wasanii wengi hufanya jitihada kubwa sana ya kazi zao za kisanii lakini huishia kupotea muda mfupi sana baada ya kupata umaarufu. Tatizo hilo mpaka sasa ni wasanii wachache sana ambao wameweza kutumia tatizo hilo katika upande chanya na kunufaika nalo. Kwa Tanzania wasanii wachache walioweza kulitumia tatizo hilo ni Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Wasanii hawa kwa namna moja au nyingine walifanikiwa kutumia coverage za mgogoro wao kupata faida ya muonekano wa kibiashara ‘BRAND VISIBILITY’ ambayo huenda kwa namna moja au nyingine ilisaidia kuwaongezea washabiki wao.

 

Idris-Wema

65bf0ac3c7e04570b46f2a916617bf0d

Je, mastaa waliopo kwenye mahusiano ya kimapenzi (staa nastaa) endapo mambo yataenda kombo, wataweza kunufaika na upande wa pili wa tatizo hili?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *