Mungozaji na Mwandishi wa Tamthilia ya Jua Kali, Lamata amefunguka na kusema kuwa muigizaji wa Bongo Movie, Kajala hayumo katika Tamthilia ya Jua kwasababu afiti sehemu yoyote.

Lamata amesema kuwa kuwa katika Tamthilia hiyo huwa anaheshimu sana Muongozo na huwa wanakaa na Timu kuangalia ni Muigizaji gani anafiti sehemu Fulani hiyo.

Muongozaji huyo wa Tamthilia amesema hayo baada ya kuuliza kwanini muigizaji Kajala huyumo kwenye Tamthilia yake hii wakati alifanya tamthilia yake iliyopita iliyokuwa inaitwa ‘Kapuni’.

Mbali na hivyo yeye huwa haangalii urafiki kwenye kazi yake na hata Kajala analifahamu hilo na hajawahi kujiskia vibaya na anamsapoti sana kwenye kazi zake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *