Mshambuliaji wa Wales, Gareth Bale amefunga magoli mawili baada ya timu yake ya Real Madrid kushinda 3-0 dhidi ya Real Sociedad kwenye mechi ya ufunguzi wa ligi kuu nchini Uhispania.

bale2

Bale alishinda goli la kwanza kwa kichwa katika dakika 2 ya mchezo huo na goli la pili likafungwa na Marco Asensio katika dakika ya 40, mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika Madridi inaongoza 2-0.

Bale alishinda goli la tatu katika dakika ya 90 ya mchezo baada ya kumpiga chenga kipa wa Real Sociedad, Geronimo Rulli na kuitimisha ushinda wa 3-0.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *