Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, Kontawa ameachia wimbo mpya akimshirikisha Maua Sama ‘Sikuachi’ ambao umepokelewa vizuri na mashabiki wake.

Project hii imekuja ikiwa ni miezi michache toka rapa huyo aachie original Champion akiwa na Nay wa Mitego na kufanya vizuri sana.

Baada ya mafanikio ya project hiyona yeye aliupenda wimbo huo na kufanya remix ya pamoja ambayo nayo ilifanya vizuri.

Maswali mengi yakaja baada ya mafanikio ya project hiyo nini kitakuja, wiki hii rapa huyo ameendelea moto kwa kuachia project ambayo ina hadhi ya Champion, iitwayo ‘Sikuachi’.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *