Kuna vizazi viwili vya Bongo Fleva ambavyo IshiKistaa ingependa kupata maoni ya mashabiki juju ya kip ni kizazi bora zaidi cha muziki huo.

Mashabiki waamue kwa kuzingatia: aina ya mashairi yanayoimbwa (ujumbe, mirindimo, ubunifu wa sauti n.k); kipato wanachopata wasanii; mafanikio ya wasanii kimataifa NA mchango wa vizazi hivi kwenye kuupatia mafanikio muziki huu.

Kundi A:

Juma Nature, Joseph Haule (Prof. Jay), Joseph Mbilinyi (Mr. II Sugu), Judith Wambura (Lady Jay Dee) na Rehema Chalamila (Ray C)

Kundi B:

Naseeb Abdul (Diamond), Joh Makini, Ali Kiba, Benard Paul (Ben Pol), Ruby na Vanessa Mdee (Vee Money)

Juma Nature mwakilishi wa kizazi cha wakongwe wa Bongo Fleva
Juma Nature mwakilishi wa kizazi cha wakongwe wa Bongo Fleva

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *