Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara, Yanga leo wanashuka dimbani dhidi ya Prisons FC kwenye mechi ya ligi kuu Tanzania Bara katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam.

Kikosi cha klabu hiyo kitakachoshuka dimbani leo ni

1. Beno Kakolanya
2. Hassan Kessy
3. Haji Mwinyi
4. Kelvin Yondani
5. Vicent Bossou
6. Juma Said
7. Saimoni Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Amisi Tambwe
10. Obrey Chirwa
11. Geofrey Mwashuiya

Akiba
Deogratius Munishi, Juma Abdul, Vicent Andrew, Mateo Antony, Deusi Kaseke , Emmanuel Martin, Haruna Niyonzima.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *