Mabingwa watetezi Ligi kuu Tanzania Bara, Yanga wanashuka dimbani leo jioni kuwavaa Mtibwa Sugar katika dimba la Uhuru Jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo uongozi wa timu ya Yanga umeweka hadharani kikosi chake za maangamizi dhidi ya Mtibwa Sugar  katika kutafuta pointi tatu katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayoendelea katika mzunguko wa tano wa michuano hiyo.

1.Youthe Rostand
2.Juma Abdul
3.Gadiel Michael
4.Andrew Vicent
5.Kelvin Yondani
6. Said Juma
7. Pius Buswita
8. Raphael Daud
9. Donald Ngoma
10.Obrey Chirwa
11.Ibrahim Ajib

Wachezaji wa akiba ni pamoja na Kakolanya, Mwinyi, Nadir, Kamusoko, Mahadhi, Emmanuel pamoja na Mwashiuya.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *