Yanga leo  inashuka dimbani kuwavaa Kagera Sugar kwenye mechi ya ligi kuu Tanzania Bara katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam.

Klabu hiyo imeweka hadharani kikosi kitakachovaana na wakata miwa hao wa Kaitaba ambacho kina mabadiliko kidogo na kile kilichocheza dhidi ya Prisons mwisho wa wiki.

Kikosi cha YANGA 
1. Beno Kakolanya
2. Hassan Kessy
3. Haji Mwinyi
4. Kelvin Yondani
5. Nadir Haroub
6. Thaban Kamusoko
7. Saimoni Msuva
8. Haruna Niyonzima
9. Amisi Tambwe
10. Obrey Chirwa
11. Geofrey Mwashuiya

Akiba
Deogratius Munishi, Juma Abdul,Vincent Bossou, Matheo Antony, Deusi Kaseke , Emmanuel Martin pamoja na Said Makapu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *