Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetangaza kuanza kusikiliza kesi inayomkabili mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kuanzia Agosti 28 mwaka huu.

Tundu Lissu amefikishwa mahakamani hapo akituhumiwa kwa kosa la kutoa lugha ya uchochezi kwa Rais Magufuli aliyoitoa Juni 28 mwaka huu.

lissu

Wakati akitoka mahakamani hapo Tundu Lissu amesema wana haki ya kufanya mikutano hapa nchini pia amesema kwamba kauli ambazo za kusema kwenda kufanyia mikutano sehemu ulipochaguliwa ni za mtu tu na asomi sheria.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *