Kamati ya uchaguzi ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) jana limepitisha majina ya wagombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi ujao wa shirikisho hilo.

Kamati hiyo imekutana kwa mara ya kwanza jana baada ya kuvunjwa na kuundwa upya na kikao cha kamati ya utendaji ya TFF.

Baada ya kikao kumalizika na kufanya usahili wa wagombea wa nafasi zote na kuchuja majina ya wagombea.

Baadhi ya majina ya wagombea waliyochujwa nafasi ya Urais ni pamoja na Rais wa sasa wa TFF Jamal Malinzi ambaye ameondolewa kwa sababu hakuhudhuria usaili.

ajapita

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *