Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Jux amekanusha tetesi za kuachana na mpenzi wake ambaye pia mwanamuziki, Vanessa Mdee.

Jux amekanusha taarifa hizo baada ya siku chache zilizopita zilizuka tetesi kwamba mastaa hao wawili wa muziki ambao wako katika mahusiano ya kimapenzi wameachana.

Vanessa Mdee
Vanessa Mdee

Tetesi ambazo zilizua gumzo katika mitandao ya kijamii, ikiwa hatukupata kauli yoyote kutoka kwa wahusika hao wawili.

Jux amekanusha tetesi hizo na kudai kwamba wao wako vizuri, ila tu ni tetesi ambazo zimezuka baada ya kutoonekana kuwa karibu na Vanessa kwa muda sasa.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *