Mwanamitindo mashuhururi nchini, Jokate Mwegelo ameingiza sokoni bidhaa ya mabegi kupitia brand yake ya Kidoti.
Mwanamitindo huyo amezidi kujitengenezea njia nzuri za kibiashara kupitia brand yake ya Kidoti kutokana na kujikita zaidi katika ujasiliamali.
Kupitia ukurasa wake Intsgram Jokate ameandika kama ifuatavyo “Safari huanza na hatua mmoja na safari mmoja huanzisha nyingine. It was awesome bringing this concept to life with my brother @raqey_allaraqya and his entire team from @iviewstudios thank you and so sorry if I was too demanding, I can’t help myself . Cc @kidotibags #BeKidotified #ThisBagContainsMyStory #Kidoti