Joh Makini ndani ya ‘Top Three’ ya Young Killer

0
411

Mwanamuziki wa hip hop nchini,  Young Killer amewataja wanamuziki watu wa hip hop anaowakubali zaidi kutokana na mashairi yao kumuhamasisha kufanya vizuri kwenye game.

Mwanamuziki wa kwanza wa hipo hop anayekubaliwa na Young Killer ni Mbunge wa Mikumi mkoani Morogoro, Profesa Jay huku akimtaja kuwa namba moja kwake kutokana na uimbaji wake na mpangilio wa mashairi yake.

Fid Q akiwa mwanamuziki wa pili anayekubaliwa na Young Killer kutokana na ngoma zake kumshawishi mwanamuziki huyo kujiingiza kwenye game la muziki wa hip hop.

Licha ya kumdisi kwenye wimbo wake ‘Sina Swagga’ Young Killer amemtaja Joh Makini kuwa ni mwanamuziki wake wa tatu wa hip hop anayemkubali zaidi Bongo kutokana na mashairi yake.

LEAVE A REPLY