Jeshi la Polisi Tanzania limetolea ufafanuzi kuhusu matumizi ya PF 3 yaliyopigwa marufuku na waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba.

Jeshi hilO limetolea ufafafanuzi masuala hayo baada ya masaa kadhaa waziri wa mambo ya ndani, Mwigulu Nchemba  kusema wagonjwa wenye majeraha watibiwe bila PF 3.

barua-polisi

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *