Unajua kuwa staa wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper alitia aibu siku ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa mtoto wa Diamond Platnumz, Nillan.

Staa huyo anadaiwa kulewa chakari na kushindwa kujimudu hadi kufikia kudondoka wakati akiwa na kippers sauti mkononi.

Unataka kuona ilivyokuwa? Tazama:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *