Watuhumiwa wa madawa ya kulevya ambao ni wasanii wamefikshishwa mahakamani katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma zinazowakabili.

Wasanii waliofikishwa mahakamani leo ni Tunda, Rachael, Nyandu Tozy, Babuu wa Kitaa na TID ambao wanatuhumiwa kwa kujihusisha na uuzaji na utumiaji wa madawa ya kulevya.

kisutu

Wakati walipowasili katika mahakama hayi watuhumiwa hao wameshushwa nyuma ya majengo ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu huku baadhi ya wakijifunika nyuso zao kukwepa waandishi wa habari.

Watuhumiwa 12 watasomewa kiapo cha kutorudia Matumizi ya Madawa ya kulevya na kuwa katika kuangalizi wa mahakama na jeshi la polisi kwa miaka 2.

babuu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *