Unapenda kukutana na staa gani wa Bongo? Unapenda zaidi wasanii wa tasnia ipi kati ya Bongo Fleva na Bongo movie? Je, mapenzi yako kwa staa wa Bongo yanaweza kukutoa mkoa wa mbali kwaajili ya kukutana nae na ‘kula bata pamoja nae’? Je, iwapo ISHI KISTAA itakugharamia kila kitu kuanzia safari yako hadi gharama za kula bata ‘utakavyo’ na staa wako utakuwa tayari kufurahi nae?

Maswali yamekuwa mengi kuhusu ‘kukutana na ku-spend amazing moments na staa umpendae lakini, ISHI KISTAA imewawezesha wengi kufurahia hili.

Kwenye safari ya dakika 50 hadi sitini angani (ndani ya ndege) au saa 13 hadi15 kwenye luxurious coach, unaweza kutoka mkoa wa Mwanza a.k.a Rock City na kufika Dar es Salaam a.k.a Bongo.

Moja kati ya mastaa ambao fans wao ‘wako tayari kutembea umbali mrefu ili kukutana nao na kula nao bata huku wakipiga stori ni Shamsa Ford. Unaikumbuka skendo ya kutoka kimapenzi na rapa Ney wa Mitego? Ingawa waliachana lakini hakuacha kuimba ‘PALE KATI PATAMU’ lakini hakusema kama ilikuwa ni special song to a specialized person na hakuna mahali amemtaja Shamsa lakini, ukitafakari na kujua kuwa ‘rapa’ aliumia utagundua kuwa ‘Sio tu kuwa ‘Pale kati patamu lakini Shamsa Ford kwa ujumla ‘MTAMU’.

Shabiki wa staa huyo wa Bongo Movie, Mwana Khatibu kutoka Mwanza anakiri kuwa ilikuwa ‘amazing & superb’ ku-spend time na staa huyo.

Sio tu kuwa wawili hawa waliinjoi muda wa kupiga stori huku Mwana akijua mengi kuhusu Shamsa Ford na maisha yake lakini pia ‘booooonge la shopping Mwana, hakulitarajia kabisa’

Ni katika namna kama hii ambayo Mwana anajifunza mengi na kuinjoi maisha –KISTAA na staa ampendaye, ndivyo ambavyo ISHI KISTAA inavyotoa nafasi kwako ya kukutana na staa umpendae na ku-experience maisha ya kistaa
Hebu tafakari maswali haya kisha yasikilize majibu ya staa huyo:

Unamjua staa wa Bongo Movie aliyemshika mkono Shamsa Ford na kumuingiza kwenye filamu?

Unaijua nguvu kubwa aliyokuwa nayo Shamsa wakati anaanza uigizaji?

Unadhani Shamsa ni staa mwenye ushawishi chanya kwa jamii?

Unazijua changamoto za kuwa STAA ndani ya Bongo?

Je, kuwa staa ndani ya Bongo kunasababisha gharama za ziada za maisha?

Je, Shamsa Ford anapenda zaidi kuishi mkoa gani hapa Bongo?

Kuna jibu la kila swali na nyongeza ya stori kibao kuhusu Shamsa Ford ikiwemo skendo za mahusiano.

Je, ungependa ufurahia maisha KISTAA zaidi? ISHI KISTAA inakupa nafasi hiyo bila shaka. Unamchagua staa umpendaye na unapata nafasi ya kukutana nae na kuinjoi maisha ya kistaa.

Tuma neno STAA kwenda 15670 SASA!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *