Umeshawahi kukutana na Sharobaro a.k.a Bob Junior a.k.a rais wa Wasafi? Unaitamani nafasi hiyo? Usiishie kutamani tu, njoo ukutane nae, mpige stori na umuulize utakacho.

Licha ya kuwa ndiye msanii aliyewasaidia kina Diamond Platnumz kutengeneza majina makubwa waliyonayo leo lakini yeye amebaki kuwa mtu wa kawaida ana asiyejikweza.

Bob Junior mmiliki wa studio ya Sharobaro records anakuwaje anapokutana na fasns wa kawaida?

Shopping moja ya kukutofautisha na jana, ya kukufanya uwe STAA ndani ya jamii inayokuzunguka.

Ni shoo moja inayweza kubadilisha hisia zako na kukufanya ufunge safari ndefu kutoka ‘popote ulipo’ ili kuinjoi maisha bila ‘stress’ ni ISHI KISTAA!!

Emmanuel ametokea Mwanza ‘Ngosha’ na ana ushahidi wa ‘kwanini alifunga safari kuja Dar na amerudi na nini kipya’?

Jiunge na ISHI KISTAA sasa uwe STAA mpya. Tuma neno STAA kwenda 15670 SASA!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *