Unatamani kuwa MASOGANGE wa Belle9? Sharti moja tu uliweze ‘USIWE MBALI’

Unataka shopping kali, mwache Belle9 akuongoze njia, unataka kujua kama nguo imekukaa au haujanoga? Mfanye Belle9 awe kioo chako.

Unataka ‘amazing acappella’, hebu icheki kwa Belle9.

Ni BOOOONGE la zawadi kwa fan wake!!

‘We ni zaidi ya wimbo wacha nikuimbe wacha nivimbe nani anakataa’

‘Hipsi, maringo, macho na shingo na zao mioyo yao inapaaaa’

Ilikuwa ni surprise ya nguvu kwa dada huyu aliyetoke Arusha, na hawezi kusahau kamwe ‘dedication hii’.

Muulize Beatrice Haule wakati alipokuwa anapewa zawadi hiyo baabkubwa alikuwa akijisikiaje?

Belle9 sio tu ni msanii wa ngoma kali za Bongo Fleva lakini pia ni fan-goer, unataka kulijua hilo? Hebu tazama fans waliokuwa around walivyopata ‘ladha’.

Unaikumbuka MOVIE, BURGER SELFIE ya Belle9, hebu itazame.

Lakini kile ambacho anaaswa Belle9 ni mastaa kuacha kujiskia hususani kwa fans wao!!

Unataka kukutana na Belle9 na kuinjoi kistaa?

Tuma neno STAA kwenda 15670 SASA!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *