Wangapi wanawapenda mastaa kutoka Wasafi Classic Baby? Huyu hapa ni mmoja wa mastaa hao, Queen Darleen.

Ana vituko, ana mbwembwe na uchangamfu wake ni ‘amazing’.

Yaani ilikuwa ‘sheeeeedah’ kwa mshindi wa ISHI KISTAA anayemkubali zaidi Queen Darleen.

Jambo moja la kutambuani kuwa, endapo hupendi pensi au nguo fulani, ISHI KISTAA tunafanyaje?….WE GIVE YOU OPTIONS!!

Kimbembe ni pale STAA Methan Lugasire alipopewa tahadhari na Queen Darleen ‘Nikubali unavyonikubali lakini masuala ya kuniambia unanipenda……………………’

Akiwa anatokea mji wenye utajiri mkubwa wa mifugo ya ng’ombe, Lugasire anakuwa mgeni Dar na haamini kinachomtokea.

Angalia usijaribu BURGER kama umezoea ‘MAKANDE’ ha ha ha ha ha…What a joke!!

It’s funny and amazing!!

Huwezi kuchoka kutazama EPISODE hii!! Na unaweza kuwa sehemu ya WASHINDI wa ISHIKISTAA series!!

Tuma neno STAA kwenda 15670 SASA!!

Kila moment uliyoiona humu na zaidi itakuwa yako!!

Shopping, mastori, ma-outing etc

Kuwa STAA SASA!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *