Yawezekana hujawahi kufika kwenye mkoa fulani ndani ya Tanzania au wakati mwingine unaweza ukajikuta hujawahi kutumia huduma fulani.

Mfano kupanda ndege au treni au hujawahi kukutana na staa unayemkubali zaidi.

Nini kinafuata unapopata kile ulichokuwa unakiota?

Ni SUPER CALLS’ Ukiwa na smart phone utaitumia kupiga selfie za ushahidi lakini vinginevyo ni simu tu……hakuna kutuma meseji!!

Michael Selemani, mshindi wa Ishi Kistaa ni mfano wako wa kuthibitisha hayo, mcheki na umfuatilie kwa makini.

Michael ni mshindi wa Episode ya 4 ya ISHI KISTAA akiwa anatokea Lindi na huku akiwa hajawahi kuikanyaga Dar es Salaam.

Na sasa kwa mara ya kwanza Michael anatua Dar na kukutana na staa wake, Mabeste!!

Michael ‘mshkaji tu’ aliyekuwa na ndoto kibao juu ya Dar es Salaam amefanikiwa kumaliza kiu yake na kiu kubwa zaidi ni kukutana na Mabeste.

Ngoma SIRUDI TENA ya Mabeste ndio favourite kwake na kukutana huku kunampa fursa ya kuisikia tena ‘LIVE’ na kupata mchongo wa kung’aa ndani ya Dar!!

Cheki shopping, cheki ‘ushuhuda wa Michael’, cheki BATA BATANI…….NI MASTAA WAWILI WAKIISHI MAISHA YAO YA KISTAA.

Nawe pia una nafasi sawa na Michael, una nafasi ya kukutana na staa wako na ukang’aa ‘KISTAA’.

Kwanini nawe usifurahie maisha na staa unayemkubali? Kwanini nawe usiwe STAA na UKAISHI KISTAA?

Tuma neno STAA kwenda 15670 SASA!! Upate habari za mastaa kila siku na nafasi ya kujishindia muda wa maongezi hadi 10,000/- kila siku!!

Nafasi ya kuishi Kistaa na staa umpendaye INAKUSUBIRI WEWE!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *