Unajisikiaje pindi unapokuwa mshindi wa Episode ya Ishi Kistaa?

Unapokuwa mwanafunzi ambaye una lengo la kutimiza ndoto za kuishi kistaa na MUNGU anapokujaalia nafasi hiyo kupitia ISHI KISTAA campaign, unajiskiaje?

Unapotimiza ndoto yako ‘all the way from Dodoma’ unajiskiaje? It is real!!!

Hayo yote na ziada yake yanaonekana wazi kwa mshkaji Juma ambaye staa wake ni nyota wakundi la Navy Kenzo na producer ‘anayetisha’ Bogo, Nahreel.

Ni stori, ni shopping za kibabe na ‘dalili za feature collabo’?. Utaamua wewe!!

Mbali ya kushare mastori kibao na staa wake lakini ukweli ambao wengi hawaufahamu ni kuwa Nahreel na mpenzi wake, staa mwenzake, msanii mwenzake, member mwenzake wa kundi la Navy Kenzo, Aika ‘HAWAKUJUANA KWENYE BONGO FLEVA’.

Unalijua swali la kipi kilitangulia kati ya ‘kuku na yai’? basi unaweza ukalihoji kwa wawili hawa. Nini kilitangulia kati yao, mapenzi au sanaa? Walianza kuwa wapenzi kisha wakaunda Navy Kenzo au Navy Kenzo ilizaa mapenzi kati yao? Msikilize Nahreel akifafanua ‘kilichatangulia’.

Na raha zaidi ni pale ambapo staa wako anapokupa nafasi ya kuonyesha uwezo wako na akafikiria kukupa collabo kwenye ngoma zake…….Cheki Juma anavyojaribu kuimba chorus ya ‘GAME’!!

Nawe unataka kukutana na STAA wako? ‘INAWEZEKANA’!!

Ni nafasi yako KUISHI KISTAA……Kutana na staa umpendaye, mta-share EXCLUSIVE moments na mfanye yenu ‘KISTAA ZAIDI!!

Tuma neno STAA kwenda 15670 sasa!! Ili KUJIUNGA!!

Utapata habari za mastaa kila siku na chance ya kujishindia muda wa maongezi wa 10,000/- kila siku!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *