Umeshawahi kukutana na Mwasiti Almas, yule staa wa KULIVUA PENDO hadharani?

Yule binti wa Kigoma kutoka THT? Mwasiti Almas amekuwa moja ya surprise kubwa kwa fans wake siku zote kutokana na mvuto wake na uwezo wake wa muziki awapo jukwaani.

Nani ambaye asingependa kumuona Mwasiti akiwa na Ali Nipishe kwenye PENDO? Basi uzuri wa dada huyu na sauti yake ang’avu ni moja ya sababu kubwa ya kumpa mshindi wa Ishi Kistaa mzuka wa kukutana na staa huyu.

Hebu fuatilia namna ambavyo mshindi wa sehemu ya pili ya Ishi Kistaa alivyokuwa ‘surprised’ baada ya kukutana na staa aliyekuwa akimuota siku zote, Mwasiti Almas.

Hii ni nafasi pekee kabisa nchini Tanzania ya fans wa mastaa wa Bongo Fleva na Bongo Movie kuweza kukutana na mastaa wao na kupiga stori huku (kwa pamoja) wakifanya bonge la shopping kwaajili ya kumfanya mshindi wa Ishi Kistaa nae kuwa staa mpya.

Huwezi kuthubutu kukosa nafasi hii pekee inayokukutanisha na staa yeyote umpendaye na zaidi ya hapo kupata nafasi ya kushinda zawadi nyingine KIBAAAAAOO!!

Ili kushinda nafasi ya kuwa STAA ndani ya Ishi Kistaa, jiunge na Ishi Kistaa kisha upokee habari kuhusu mastaa uwapendao na ujibu maswali kuhusu mastaa hao.

Utakaposhinda nafasi ya kuwa STAA basi itakuwa BATA na STAA WAKO kwa kwenda mbele.

Jiunge sasa kwa kutuma neno STAA kwenda 15670 (Watumiaji wa Vodacom).

Hii ni NAFASI KWAAJILI YAKO….KUWA STAA LEO!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *