Umeshawahi kuwa na ndoto kubwa sana maishani? Umeshawahi kutamani jambo fulani zuri litokee maishani mwako………….Kila kitu kinawezekana chini ya jua.

Huenda unatamani kuwa na nafasi kubwa ya madaraka kama raisi, au unatamani kuwa na ufahamu mkubwa wa mambo nawe uitwe ‘GENIUS’ lakini huenda unatamani kuishi maisha fulani hata kwa muda mfupi, EVERYTHING IS POSSIBLE!

Kanuni ya kufanikiwa ni moja tu siku zote, USIKATE TAMAA bila kujali mara nyingi ulizojaribu bila mafanikio.

Programu ya Ishi Kistaa ni moja ya nafasi adimu sana nchini Tanzania ambayo inatoa nafasi kwa mashabiki wa wasanii mastaa wa Bongo kuweza kukutana nao na kufurahia maisha ambayo mastaa hao wamekuwa wakiyaishi kila siku.

Ishi Kistaa iko kwenye msimu wa kwanza ambapo washindi wake wamepata nafasi ya kukutana na mastaa na kuwaelezea hisia na mitazamo yao mbalimbali juu ya kazi zao na ndoto zao.

Huenda nawe ndoto yako ya kukutana na staa wako na kumueleza yanayokusibu imewadia, shiriki ISHI KISTAA sasa upate nafasi unayoitafuta kwa muda mrefu.

Kushiriki Ishi Kistaa (Kwa wateja wa Vodacom tu): Andika neno STAA kisha tuma kwenda 15670.

Fuatilia safari hii ya mshindi huyu wa Ishi Kistaa, ufurahie na ujifunze namna ya kuishi KISTAA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *