Mastaa wawili wa Bongo, Idris Sultan na Harmonize wamerushiana maneno makali kwenye mitandao ya kijamii.

Wawili hao walikuwa wakitupiana vijembe kupitia pages zao hizo za mitandao ya kijamii. Picha lilianza kwa Idris Sultan baada ya kuandika kwamba “Ogopa rapa wako anapo kiki kuliko wewe. Inabidi mbadilishane wewe ndo uwe rapa. #MsinitilieMaanani #NajiongeleshaTu”.

Maneno aliyoandika Idris Sultan ambayo yalimkera Harmonize
Maneno aliyoandika Idris Sultan ambayo yalimkera Harmonize

Kisha baada ya muda Harmonize kupitia kurasa yake ya Twitter akaandika kuwa “Naskia unalala Mbezi kwa Mwanaume mwenzio Daa Huruma kwani ulishindaga shilingi ngapi south….??? Mbaya zaidi naskia huna marinda”

Kisha masaa machache baadae tukaiona tena post ya Idris Sultan ilioambatana na caption iliyosomeka kama “Acha nicheke tu! Ntafanyaje sasa, kumpiga nzi risasi ntamuonea maskini. Huyu ni makofi tu #MarindaNimekuwaSketiyaShule….KARIBU KIUMENI.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *