Mwanamuziki wa Bongo fleva, Ice Boy amefunguka na kusema kuwa rapa Young Killer alikuwa hapendi kuona yeye anafanikiwa na kutoka kwenye muziki licha ya kufanya naye kazi kama ‘Back vocal Artist’ kwa miaka mitatu.

Ice Boy amesema kuwa alivyogundua Young Killer anambania aliamua kuachana naye na kufanya mambo yake mwenyewe mpaka alipofanikiwa kutoka ngoma yake ya kwanza na kupokelewa na mashabiki.

yong-killer

Mkali huyo amesema kuwa allikuwa na Young Killer kwa miaka mitatu anafanya kazi kama ‘back vocal’.

Baada ya muda kupita mkali huyo akaona Young Killer amsapoti ndiyo akaamua kuachana nae.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *