Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha Channel Ten na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa, Daud Mwangosi inayomkabili Pacificius Cleophace Simon.

Mwangosi: Enzi za uhai wakeMwangosi: Enzi za uhai wake

Juzi mahakama hiyo ilimkuta na hatia ya kuua bila kukusudia Pacificius ambaye anayetuhumiwa kumuua Mwangosi katika tukio lilitokea katika Kijiji cha Nyololo, wilayani Mufindi Mkoani Iringa Septemba 2 mwaka 2012.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *