Golikipa wa Tottenham, Hugo Lloris anatarajia kukaa nje ya uwanja kwa wiki nne baada ya kuumia nyama za paja kwenye mechi dhidi ya Everton iliyomalizika 1-1 katika uwanja wa Goodson Park siku ya Jumamosi.

Golikipa huyo raia wa Ufaransa alitoka katika dakika ya 35 ya mchezo huo na nafais yake ikachukuliwa na golikipa, Michel Vorm.

Hugo Lloris mwenye umri wa miaka  29 atakosa takribani mechi nne za ligi kuu nchini Uingereza dhidi ya Crystal Palace, Liverpool, Stoke and Sunderland.

Lloris: Akitoka nje ya uwanja baada ya kuumia kwenye mechi dhidi ya Tottenham.
Lloris: Akitoka nje ya uwanja baada ya kuumia kwenye mechi dhidi ya Tottenham.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *