Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita, leo huku shule 10 zikishika mkia kwenye matokeo hayo.

Shule hizo ni Kiembesamaki Unguja, Hagafilo (Njombe), Chasasa (Pemba), Mwenyeheri Anuarite (Dar es Salaam) na Ben Bella (Unguja).

Nyingine zilizotajwa kushika mkia ni Meta (Mbeya), Mlima Mbeya(Mbeya)

Nyingine ni Shule ya Sekondari ya Al-Ihsan Girls (Unguja na St Vicent(Tabora).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *