Usiku wa kuamkia leo, rais wa Afrika Kusini  Jacob Zuma alifanya mabadiliko ya baraza la mawaziri la nchi hiyo kitendo ambacho kimezua maneno mengine dhidi yake.

Rais Zuma ambaye juzi alizuiwa kuhudhuria mazishi ya mpigania haki za watu weusi na mshauri wa zamani wa rais Nelson Mandela, Ahmed Kathrada amekosolewa kwa kufanya uamuzi bila kuwashirikisha baadhi ya viongozi wa juu wa Serikali yake.

Hii ndio video ya rais huyo alipokuwa akifanya uamuzi huo mzito.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *