Yanga imetaja kikosi kitakachopambana dhidi ya Azam leo kwenye mechi ya ligi kuu Tanzania Bara katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Katika kikosi hicho Yanga itawakosa wachezaji wake nyota watano ambao ni Donald Ngoma, Amis Tambwe, Kelvin Yondani na Hassan Kessy na Thabani Kamusoko.

Kikosi kamili cha leo

 1. Deogratius Munishi
  2. Juma Abdul
  3. Mwinyi Haji
  4. Nadir Haroub
  5. Vicent Bossou
  6. Saidi Juma
  7. Saimoni Msuva
  8. Justine Zulu
  9. Obrey Chirwa
  10. Haruna Niyonzima
  11. Deusi Kaseke

Akiba
-Beno Kakolanya
-Oscar Joshua
-Andrew Chikupe
-Juma Mahadhi
-Geofrey Mwashiuya
-Mateo Antony
-Emanuel Martin

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *