Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize Amefunguka Kuwa Kwa Takribani Miaka 7 Ya Ufanyaji Wake Muziki Hajawahi Kupata Hela Kutoka Kwenye Kampuni Ambayo Ameitaja Kama Imekua Ikisimamia Usambazaji Wa Muziki Wake.

Ameendelea Kwa Kusema Kuwa Anazihitaji Pesa Zake Zote Hizo Kwasababu Ni Mmiliki Halali Wa Nyimbo Zake Zote za muziki toka alipoanza muziki.

Pia Harmonize ameendelea Kusema Kuwa Endapo Hatopewa Pesa Hizo Ataachana Na Kampuni Hiyo Ya Kusambaza Muziki.

Mwanamuziki huyo kwasasa anafanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva kutokana na ubiora wa kazi zake kwa mashabiki wake wa muziki wake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *