Mwanamuziki nyota wa Bongo fleva, Harmonize kutoka WCB wikiendi iliyoisha siku ya jumamosi aliamua kwenda  kufarahia siku hiyo katika mbuga ya wanyama ya Serengereti.

Kwenye safari yake hiyo mwanamuziki huyo aliambata na mpenzi wake ambaye pia ni staa wa Bongo movie, Jackline Wolper ambapo walipata nafasi ya kutembelea sehemu mbali mbali za mbuga hiyo.

w1

Wawili hao kwasasa mapenzi yao yameonekana kushika kasi baada ya kuwa pamoja kila mara katika matembezi yao.

w2

Harmonize ambaye kwasasa anaatamba na wimbo wake “Matatizo” ameonekana kuvut iwa n mwanadada huyo.

Wolper kupitia ukurasa wake wa instagram amendika: Asante Raj wangu kwa kunipeleka vacation… nime enjoy saana.

w3

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *