Mwanamuziki wa Bongo Fleva, H Baba amefunguka na kusema kuwa alikuwa akipigwa na mpenzi wake waliokuwa kwenye mahusiano kabla ya kuachana.

H Baba ametusanua kuwa kwenye Mahusiano yake ya zamani alikuwa akipokea kichapo kizito kutoka kwa Mpenzi wake wa zamani.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ameshare video ikimuonesha Mwanaume akipigwa na Mwanamke kisha kuisindikiza na Ujumbe kuwa kwa sasa anashukuru Mungu hakutani tena na Kichapo kama kwenye Mahusiano yake ya zamani.

Mwanamuziki huyo amesema kuwa kwasasa anashukuru kwani apokei kichapo kama zamani alivyokuwa anapigwa na mpenzi wake huyo wa zamani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *