Timu ya Machester City imefanikiwa kuwalipizia kisasi ndugu zao wa jiji la Manchester, Manchester United baada ya kuifunga Borussia Dortmund kwa mikwaju ya penati 6-5.

Mchezo huo ulimaliza dakika 90 kwa suluhu ya 1-1 huku bao la Man City likifungwa na Sergio Aguero aliyetokea benchi.

city7

city8

city10

city6

city5

city4

city3

city2

city1

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *