Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kuifunga Tottenham goli 1-0 kwenye mechi ya kombe la kimataifa ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu, mechi hiyo imefanyika katika uwanja wa Merboune nchini Australia.

pole

Goli pekee la Atletico Madrid kwenye mechi hiyo limefungwa na beki wa kimataifa wa Uruguy, Diego Godin katika dakika ya 40.

Timu hizo zipo nchini Australia kwa ajili ya maandalizi ya kuanza ligi zao, Tottenham wakijiandaa na ligi kuu nchini Uingereza huku Atletico Madrid wakijiandaa kwa ajili ya ligi kuu nchini Uispania ambapo ligi zote zinatarajiwa kuanza mwezi Agosti mwaka huu.

GOLI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *