Moto mkubwa umeteketeza kiwanda cha Super doll kilichopo barabara ya Nyerere Dar es Salaam mchana wa leo, na kuteketeza mali za kiwanda hicho.

Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana, na jeshi la zimamoto limefanya jitihada za kuzima moto huo.

Katika tukio hilo la kuzima moto huo kulijitokeza changamoto kubwa ya magari ya kuzima moto, ambapo kati ya magari 10 ya zimamoto moja ndilo lenye uwezo wa kuzima moto katika kiwanda hicho.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *