Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameweka wazi jina la EP yake mpya ambayo ni FOA kirefu chake ni Fist Of All ambayo itatoka rasmi Machi 11 mwaka huu.

Diamond Platnumz aliepeka mbele tarehe ya kuachia albam yake fupi (EP) ya FOA kutoka Machi 4 hadi Machi 11, mwaka huu.

Harmonize ambaye naye amezidi kumganda Diamond baada ya kutangaza kuahirisha kuachia wimbo wake unaokwenda kwa jina la Bakhresa hadi Machi 12; siku moja tu baada ya Diamond kuachia EP yake.

Diamond aliahirisha zoezi hilo kwani siku moja mbele kulikuwa na tukio kubwa la Harmonize la tamasha lake la Afro East Carnival ambalo limefanyika katika Uwanja wa Tabata-Shule jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *