Kituo cha Television cha MTV kupitia tawi lake la nchini Afrika Kusni, MTVBaseSA limewataja wasanii kumi bora wa Hip Hop nchini Tanzania wanaofanya vizuri kwasasa kutokana na umahiri wao katika kuchana mistari.

Kupitia akaunti yao ya Twitter kituo hicho kimewataja wasanii hao 10 bora wa HipHop Tanzania waliofanya vizuri kwa mwaka 2016 huku nafasi ya kwanza ikishikiliwa na mwana hip hop, Fid Q akifuatiwa na Joh Makini.

 List ya rapa 10 waliotajwa na MTVBaseSA kama ifuatavyo

1Fid Q
2John Makini
3AY
4Mwana FA
5ROMA
6Mr. Blue
7Nikki Wa Pili
8G Nako
9Prof Jay
10Chindo Man

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *