Staa wa Hip-Hop nchini,Fareed Kubanda “Fid Q” amefanikiwa kushinda tuzo ya kipengele cha video bora ya muziki kupitia video ya wimbo wake ‘Walk It Off’ kwenye tuzo za Zanzibar International Films Festival (ZIFF).

Fid Q ameshinda tuzo hiyo kwenye Tamasha lililofanyika Visiwani Zanzibar siku ya Jumamosi ambapo wageni mbali mbali kutoka nchi tofauti waliudhuria sherehe hizo.

Video hiyo ni ya kwanza kwa Fid Q kuifanya na muongozaji kutoka nje ya nchi ambapo imeonekana kuwa bora na kumuwezesha kutwaa tuzo hiyo.

FID Q: Kipande cha video iliyochukua tuzo hiyo.
FID Q: Kipande cha video iliyochukua tuzo hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *