Fahyvanny adaiwa kutengeneza shepu

0
27

Mpenzi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rayvanny aitwae Fahyvanny inadaiwa kaenda kutengeneza shepu.

Hii ni baada ya kuweza kutrend kwa baadhi ya picha alizoweza kuziposti zikimuonyesha akiwa na umbo ‘namba nane’.

Picha hizo zimeweza kuibua mjadala mkali huku wengi wakidai kwamba shepu ya Fahyma imeboreka.

“Uturuki siyo sehemu ya mchezo mchezo mmemuona Fahyma jinsi amekuwa na mshepu kama yote kwa sasa anavutia.

“Huenda safari yake ya uturuki ilikuwa ni kwa ajili ya ‘kudownload’ shape.’ alisema shabiki huyo.

Kama ni kweli; Fahyma naingia kwenye listi ya baadhi ya mastaa Bongo wanaodaiwa kutengeneza shepu kwa ‘sajari’ nchini Uturuki, India na wengine hapahapa Bongo.

LEAVE A REPLY