Manchester United itapambana na Celta Vigo kwenye nusu fainali ya kombe la Europa ligi baada ya kufuzu jana.

Kwenye droo iliyochezeshwa leo Manchester United itacheza mechi ya kwanza na Celta Vigo ugenini nchini Italia Mei 4 kabla ya mechi ya marudiano Mei 11 mwaka huu.

europa

Mechi nyingine itawakutanisha Lyon na Ajax katika hatu hiyo ya Nusu Fainali baada ya jana kushinda mechi zao.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *