Muigizaji nyota wa Bongo Movie, Esha Buheti amefanya sherehe ya kumkaribisha mtoto wake ajaye ijulikanayo kama ‘Baby Shower.

Esha Buheti ameamua kufanya sherehe hiyo kwa ajili ya mtoto wake ajaye ambaye anatarajiwa kuzaliwa hivi karibuni.

aisha

Muigizaji huyo anatarajia kupata mtoto wa kike siku zijazo ambapo ameamua kufanya sherehe za kumkaribisha mtoto huyo.

Shughuli hiyo iliudhuliwa na watu wake wa karibu pia na baadhi ya mastaa wa filamu na muziki kama vile Shilole, Wastara Juma na Baby Madaha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *