Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Dully Sykes amefunguka na kusema kuwa uwezekano wa kufanya kazi na msanii, Zuchu kutoka WCB baada ya kukutana studio.

Habari za wasanii hao kufanya ngoma ya pamoja imekuja baada ya kuonekana Pamoja wakiimba wimbo wa zamani wa Dully Sykes na Kufanya Mashabiki Watamani Kusikia Kolabo Kati Yao.

Dully amesema kuwa “Kila Kitu Ni Malengo Na Kupanga Na Kumuomba Mwenyezi Mungu Kwahiyo Mungu Akijalia Kwasababu Ile Ni Familia Yangu Hivyo Anytime Chochote Kinaweza Kutokea”.

Kama ikikamilika kwa kolabo yao hiyo, Dully Sykes atakuwa amefanya kazi na wasanii wa WCB waliopo na waliopita kama vile, Harmonize pamoja na Diamond mwenyewe.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *