Mwanamuziki nyota wa Marekani, Drake amefanikiwa kushinda tuzo 13 kwenye tuzo za muziki na filamu, Billboard Music Awards 2017 zilizofanyika jana.

Drake ameweka rekodi mpya kwa kushinda tuzo 13 akimuondoa kwa kumpiku Adele ambaye alikuwa akishikilia rekodi ya kushinda tuzo 12.

Tuoz hizo pia zilipambwa na performance za mastaa akiwemo Drake mwenyewe, Céline Dion, Cher, John Legend, Florida Georgia Line, pamoja na Lorde.

Drake akiwa na tuzo zake 13 baada ya kuibuka kinara wa tuzo jana.
Drake akiwa na tuzo zake 13 baada ya kuibuka kinara wa tuzo hizo jana.

Utoaji wa tuzo hizo umefanyika jana katika mji wa Las Vegas nchini Marekani ambapo mastaa kibao walihudhuria sherehe za utoaji tuzo hizo.

Mastaa wengine walioshinda tuzo hizo ni Beyonce, Dissiger, Justine Timbalake na wengine kibao ambao wamefanikiwa kushinda tuzo hizo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *