Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Dogo Janja amemwagia sifa mpenzi wake kwa kusema kuwa anamshukuru kwa kumbadilisha kutoka kuwa msela hadi kuwa mume bora.

Dogo Janja Ameandika ujumbe akimtakia Mpenzi wake Quen Linnatotoo  Kheri ya Siku ya Kuzaliwa na kusisitiza kuwa yeye ndio Pumzi yake.

Dogo Janja kupitia akaunti yake Instagram ameandika

“Umenitoa kua MSELA, na kunifanya MUME! Nakupenda laana mwamba! Quen Linna Totoo ishi sana mchizi wangu! Wewe ni nusu yangu! Makuleti akisogeza PUA sidhani kama atabaki na pumzi! Ntakulinda kwa gharama itakayozidi hela, labda itafika thamani ya roho yaani pumzi ya mwisho. Quen Linna totoo HAPPY BIRTHDAY MY QUEEN.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *